Msaada wa kazi tafadhali

Msaada wa kazi tafadhali

mihuka

Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
6
Reaction score
1
Hallow wanaJF, nna degree ya information technology ,ila ni miaka 2 ss cjapata kazi hata ya kujishikiza ,nazidi kuhangaika uku na kule kutafuta chochote ili niweze kuwasomesha wadogo zangu ,tafadhal naamin hii ni jamii kubwa yeyote mweny msaada wa kazi hata ya kujitolea na Mungu ambariki.
 
mtaj kaka,hata kula napga kalenda za masaa ili cku ziende

msomi mwenye degree ajibu hvi badala ya kuuliza ujiajirije unasema mtaji?!! bongo yetu balaaa.mawazo ya mtu pia yanaweza kuwa mtaji kiongoz usikimbilie kuajiriwa
 
Hallow wanaJF, nna degree ya information technology ,ila ni miaka 2 ss cjapata kazi hata ya kujishikiza ,nazidi kuhangaika uku na kule kutafuta chochote ili niweze kuwasomesha wadogo zangu ,tafadhal naamin hii ni jamii kubwa yeyote mweny msaada wa kazi hata ya kujitolea na Mungu ambariki.

Usihofu mkuu, Mungu yupo pamoja nawe na anaijua haja ya moyo wako, na lengo lako litatimilizika siku moja. Keep on praying
 
msomi mwenye degree ajibu hvi badala ya kuuliza ujiajirije unasema mtaji?!! bongo yetu balaaa.mawazo ya mtu pia yanaweza kuwa mtaji kiongoz usikimbilie kuajiriwa

mawazo ya kila binadamu yanatofautiana ,usilazimishe yafanane ,pia kama ungekuwa unafikir zaidi nimeandka naomb msaada ,so unaweza ukawa wa aina yoyote ule ,includ unipe njia bora za kujiajir
 
Coz umesoma IT kaka ungejaribu kwa kuanzia kuanza business ndogo ambayo iko within your capacity kama kuinstall windows,kuweka antivirus,kuweka nyimbo kwenye simu,kunlock computer zenye password kwa kuweka matangazo jf ,facebook etc nazani una computer mtu wa it
 
Unaweza kupata watu wa kuwafanyia kazi na kupata cash Fulani ya kuanzia na watu wakikubali kazi yako nazani utatangaza jina na kwenda mbali
 
Hallow wanaJF, nna degree ya information technology ,ila ni miaka 2 ss cjapata kazi hata ya kujishikiza ,nazidi kuhangaika uku na kule kutafuta chochote ili niweze kuwasomesha wadogo zangu ,tafadhal naamin hii ni jamii kubwa yeyote mweny msaada wa kazi hata ya kujitolea na Mungu ambariki.
Kwakua umesoma IT hebu jaribu hii

to the javascript array`s prototype add a method called shuffle that when called do as eg1.

eg1.
[1,2,3,4,5].shuffle(); //[2,1,5,4,3]

ukiweza nitafute.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom