Msaada wa joining instruction Iyunga Boys, Mbeya

Msaada wa joining instruction Iyunga Boys, Mbeya

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Naombeni msaada na shida na joining instruction shule ya iyunga mbeya kitado cha 5 kwa mwaka 2021/2022.

Nimeingia tamisemi naona inagoma.
 
Joining instruction ya nini? Vitu vingi utavyokutana navyo wala haviko kwenye joining instruction. Mfano mango pickle ya kuongeza ladha ya kwenye ugali (bondo) ...
 
Joining instruction ya nini? Vitu vingi utavyokutana navyo wala haviko kwenye joining instruction. Mfano mango pickle ya kuongeza ladha ya kwenye ugali (bondo) ...
hii tunajiongezaga bhana hebu nisaidie joining mm
 
Back
Top Bottom