Msaada wa jinsi ya kufunga Dish la Canal

Msaada wa jinsi ya kufunga Dish la Canal

Yapo mengi tu bro
bei kwa sports ni 40000 per month
Yapo wapi, mi niko Arusha,.. Na malipo yanafanyikaje, maana siioni kwenye mitandao kama kampuni inayolipwa kwa njia za mpesa nk...
 
Kumbe 40000 tu? Sasa yanini kuhangaika kwanza lugha yenyewe kifaransa huelewi kitu wakati DStv compact ni 44000 unaona vyote ivyo .
Sio wote wasiojua kifaransa mkuu... Usipoelewa wewe, wengine wanaelewa kifaransa...
 
Kumbe 40000 tu? Sasa yanini kuhangaika kwanza lugha yenyewe kifaransa huelewi kitu wakati DStv compact ni 44000 unaona vyote ivyo .
Kumbuka 44000 ya Dstv huon uefa sawa kaka
hii nikwa epl, la liga, n.k ila sio uefa
 
Utaona kupitia ss3 na ss8 jana mimi nimeangalia Inter na Dortmund
Ndio ila utaona mechi 2/3 kati ya 8... hi ni sawa sawa na kusema ata Azam pia anaonyesha EPL... maana anaonyesha mechi moja kwa week.

So kwa hiyo Canal ya 40k vs 44k ya DSTV... Canal unaona mechi zaidi pia unaona Europa, wakati DSTV haionyeshi kabisa hiyo Europa.
 
Back
Top Bottom