Msaada wa jinsi ya kuchaji battery.

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Aug 10, 2012
48,117
41,550
Poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa, najitokeza kwenye jukwaa hili kuomba mwenye ujuzi wa jinsi ya kuchaji battery za Camera. Nina Camera ambayo inatumia rechargeable battery, ila nimeshindwa kuelewa nitazichaji je sababu zipo separate. Namaanisha inatumia battery mbili, ambazo zinafanana kabisa na batteries nyingine. Pia nikinunua battery nyingine nazitumia tu kwa muda mfupi zinakwisha charge, kwa hiyo anayejua chombo ambacho nitaweza kukinunua kinisaidie kuchajia hizo battery ningeshukuru. Natanguliza shukrani.
 
sometime huwa naichukia bongo kwa kuwa hakuna utandawazi na huduma nyingine ni adimu kuzipata...
ukweli ni kwamba hizo cell unaweza kuzirudishia charge, muhimu labda uende maduka ya wahindi posta yanayouza camera za digitali then uulize kama wanacharger zenye kurecharge size ya cell ulizonazo
 

asante watu8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…