Mawenzi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,251 Reaction score 347 Jul 31, 2011 #1 Wakuu, mnaweza mkaona ni swali la ajabu na la kitoto, lkn tafadhali sana naomba mnifundishe jinsi ya ku-upload files, pics, video, website links, n.k humu jamvini. Natanguliza shukrani
Wakuu, mnaweza mkaona ni swali la ajabu na la kitoto, lkn tafadhali sana naomba mnifundishe jinsi ya ku-upload files, pics, video, website links, n.k humu jamvini. Natanguliza shukrani