Revolution 22
Member
- Jun 11, 2021
- 68
- 150
Wakuu icloud yangu imejaa nashindwa namna ya kuiupgrade mwenye utalamu naomba maelekezo tafadhali
Kwa helaBure ama kwa hela?
Duh kwq jwel cjaelewa mkuutengeneza mastercard au visa card au km unatumia ya bank its fine
ukiclick hapo km umechagua hiyo ya 1900 itakuletea ujaze details za card inayotumika kufanya malipo utajaza (hakikisha kuwe na hela ) utalipa
kama hujaelewa pole mi kulekeza ni 0