Msaada wa jinsi ya ku factory data reset kwenye tecno J8

Msaada wa jinsi ya ku factory data reset kwenye tecno J8

beal

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
114
Reaction score
60
Habari, ninashida kwenye simu yangu ya tecno J8, kila nikitaka kureset factory inanipa meseji ya unfortnately, settings has stopped, hivyo basi zoezi zima linakwama.

Pia nkitaka kutumia whatsap na facebook messenger na instagram zinadai kuwa hakuna network connection, lakn mitandao mingine inafanya kazi kama kawaida, naombeni msaada wandugu.
 
Habari, ninashida kwenye simu yangu ya tecno J8, kila nikitaka kureset factory inanipa meseji ya unfortnately, settings has stopped, hivyo basi zoezi zima linakwama.
pia nkitaka kutumia whatsap na facebook messenger na instagram zinadai kuwa hakuna network connection, lakn mitandao mingine inafanya kazi kama kawaida, naombeni msaada wandugu.
Kama simu yako haijawahi guswa na fundi peleka pale NHC HOUSE POSTA ilipo samaki samaki floor ya pili wapo tecno watakupigia ROMS mpya tena bureeeeeee
 
Back
Top Bottom