Mkuu
Bigirita kwa majina ya kishenzi kweli nita stop that nonsense Siwezi kumwita Mwanangu et jina la
Siwema,Siwajuwi,chausiku,Cha kubimbi,Mwanauwani, na majina mengi mengineyo ya kipumbavu mimi ninayaaita
hayana faida unafikiri mwanaoukimwita mwizi na jee akiwa mkubwa akiwa jambazi utamlaumu nani? ukimwita sikujuwa
una maana gani hkujuwa kuwa Mungu atakupa mtoto? Upuuzi mtupu majina yetu ya kikabila ingawa mimi mwenyewe
Mzaramo na ni MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.
Mkuu
Matola Ujinga kwako wewe kwa watu wengine sio ujinga unamwita jina zuri lenye maana Mwanao si kumwita majina ya ovyo ovyo tu mkuu.
Mimi sipo Uarabuni Mkuu
Matola mimi jina langu si unalijuwa
(MziziMkavu Hauchimbwi Dawa) Hilo jina langu la Kizaramo lakini ninapinga majina ya kikabila mengi yao hayo majina hayana maana chochote kile Siangalii TV Za Uarabuni mimi ninaangalia TV za ulaya Mkuu nipo Katikati ya ulaya sina time za kuangalia TV za Washenzi waaarabu mkuu.