Msaada wa jina la hii dawa

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
584
250
Habari za muda huu ndugu zangu kuna dawa za malaria zenyewe zina kaa 3 unakunywa mara moja tu kama SP jina lake nimelisahau kiufasaha kabisa lakini nachokumbuka inaitwa kama “lasne” kama sijakosea box lake kwa nje kunapicha ya mbuu kama vile la SP
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,715
2,000

Hizi sio dawa za Malaria tena....Hazitibu Malaria tena kwa Tanzania, kuna resistance kubwa sana ya hizo dawa, ukiona umekunywa umekoa poa, jua hiyo haikua Mlaria ni homa ambayo hata usingekunywa bado ungepona.

Kwa sasa hizo dawa zinatumika kuwakinga ma group special kama wajawazito ili wasipate Malaria.
 
Xorry kiongozi sijazungumzia SP nimesema zenyewe zipo kama sp kwasababu zipo tatu kwa kule nilipokuwa nakaa mm wanaziita kama ALU ya kenya
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,715
2,000
Xorry kiongozi sijazungumzia SP nimesema zenyewe zipo kama sp kwasababu zipo tatu kwa kule nilipokuwa nakaa mm wanaziita kama ALU ya kenya
ALU inatakiwa kumezwa walau mara Sita, hivo vidonge haviwezi kuwa vitatu...Kuna kampuni ya india ndo imepunguza idadi kwa ile package ya watu wazima baadala ya kumeza vinne unameza kidonge kimoja, ila mwisho wa siku utameza vidonge sita na sio vile vidonge 24 vilivyozoeleka
 
Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
18,474
2,000
Duocotexin ....( Dihydroartemisinn-Piperaquine) 40mg/320mg .....

Inakua na pakiti tatu,kila pakiti ina vidonge Vitatu.

Unakunywa vidonge vitatu kila siku kwa muda wa siku tatu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom