Kuna filamu ya kitambo sana, jina limenitoka naitafuta!
Jinsi ilivyo:
Ni comedy ya jamaa anapanda mbegu ya mti na baada ya muda ule mti unakuwa mrefu zaidi hadi mawinguni, napo mawinguni kuna makazi ya jamaa mmoja huko ni bonge pa mtu( giant) ina vituko balaa, msaada wajina kwa mwenye anaefahamu!

Mkuu, nimeichek, sio hiyo, hata kama ni hiyo nilikuwa nahitaji ile ya zamani, kuku anachukuliwa na radi halafu akienda huko juu anataga mayai ya ajabu, jamaa akaenda kumuokoa kwa kupanda ule mti! Mwishoni kumbe jamaa anajikuta alikuwa yoote anaota!