Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Utofauti gan mkubwa? ? Kama no iPhone ya popote ni ile ileUtofauti upo mkubwa tu...
Hamna chief si clone coz siyo mara yangu ya kwanza kununua simu kwao tena kama unawajua wana jiita eshop(huyu yeye ana deal na simu used from USA na nyingine ni freeshop( hawa wana deal na simu za nje ya usa)na nimesha wahi nunua simu kama iphone6, 7,nikaja tena iphone 8+ ingawa niliziuza na kila napoenda ofisini kwao lazima waniuliza unataka za USA au from china na wakanifundisha jinsi ya kuangali model ya simu na kujua kama ya china au ya USA au canada(original country) mfano za usa kabla ya / lazima uandikiwe LL china wao ni CH hivyo na kadhalika inagwa sikupataga bahati ya kuwauliza kwanini za USA wanauza ghali sana. Na kingine walichowahi niambiaga ukiona simu chini ya 11 plain mfano hizi xs mas na ukakuta battery health ni 100%(most za usa BH yake ni chini ya 95) harafu model inasoma ni USA hapo usipoteze muda ujue tu amebadilisha battery. Ila za china kwakuwa ni REUSE nyingi hivyo hata kupata full box ni rahisi sana kwakuwa zinarudishwa kiwandani. Na watu wengi sana watanzania wana tumia iphone za china ila hawajui.Iphone ni iPhone tu, hapo kuna harufu ya kupigwa, usije tu ukauziwa clone.
Haisupport whatsapp kivipi coz mm nilikuwa nayo from CH lakini zinapiga kazi fresh tu au sijakupataUtofauti wake ni mdogo sana ambao kwa matumizi yetu hapa bongo sio muhimu.
iPhone za China haisupport FaceTime, inasemekana haisaport pia WhatsApp.
Ila hizo za USA zina support FaceTime na WhatsApp na pia zina support mifumo tofauti tofauti ya mitandao.
Ila specifications zingine zote zinafanana kama vile
Ubora
Camera
Battery
RAM
Storage capacity, nk...
NB kuwa makini na hao wauzaji, hakikisha unakijua vizuri kwaundani unachonunua.
Hakuna iphone clone aisee ios haichakachuliki eti uibebe uiweke kwny body la tecno sahau hapo inawekwa android ikiwa na themes ya ios au luncher ya ios bt ni androidIphone ni iPhone tu, hapo kuna harufu ya kupigwa, usije tu ukauziwa clone.
Sasa ukiwa theme ya ios na os ikiwa android sio clone? Unafahamu maana ya clone? Siku Zote clone haimaaanishi simu ni OG, hata hizo clone za Samsung ama simu nyengine ni substandard.Hakuna iphone clone aisee ios haichakachuliki eti uibebe uiweke kwny body la tecno sahau hapo inawekwa android ikiwa na themes ya ios au luncher ya ios bt ni android
Inasemekana kuna baadhi walikutana na tatizo kama hilo sio zoteHaisupport whatsapp kivipi coz mm nilikuwa nayo from CH lakini zinapiga kazi fresh tu au sijakupata
Hamna chief si clone coz siyo mara yangu ya kwanza kununua simu kwao tena kama unawajua wana jiita eshop(huyu yeye ana deal na simu used from USA na nyingine ni freeshop( hawa wana deal na simu za nje ya usa)na nimesha wahi nunua simu kama iphone6, 7,nikaja tena iphone 8+ ingawa niliziuza na kila napoenda ofisini kwao lazima waniuliza unataka za USA au from china na wakanifundisha jinsi ya kuangali model ya simu na kujua kama ya china au ya USA au canada(original country) mfano za usa kabla ya / lazima uandikiwe LL china wao ni CH hivyo na kadhalika inagwa sikupataga bahati ya kuwauliza kwanini za USA wanauza ghali sana. Na kingine walichowahi niambiaga ukiona simu chini ya 11 plain mfano hizi xs mas na ukakuta battery health ni 100%(most za usa BH yake ni chini ya 95) harafu model inasoma ni USA hapo usipoteze muda ujue tu amebadilisha battery. Ila za china kwakuwa ni REUSE nyingi hivyo hata kupata full box ni rahisi sana kwakuwa zinarudishwa kiwandani. Na watu wengi sana watanzania wana tumia iphone za china ila hawajui.
Hakuna tofautiHabari za muda huu ndugu zangu nilikuwa na shida moja ya kufahamu je kunatofauti gani kati ya iphone zinazo toka USA na hizi iphone kutoka nchi zingine?? Mfano mm nilikuwa nataka iphone ya XS MAX from USA(LL)256GB used.
Muuzaji alinitajia bei ya 1.3M ila nilivyouliza iphone from china muuzaji aliniambia kwa used ni 900K na kwa unbox ni 1.2 hadi 1.15M. sasa nataka kujua je kuna tofauti gani kati ya hizi simu za iphone zilizotoka USA na hizo zinazotola nchi nyingine mfano UK,CANADA na CHINA?
Katika upande wa matumizi mfano camera,power na kadhalika. reyzzap Chief-Mkwawa.
Kwa mtizamo huu utatandikwa mtikenge siku moja.Hakuna iphone clone aisee ios haichakachuliki eti uibebe uiweke kwny body la tecno sahau hapo inawekwa android ikiwa na themes ya ios au luncher ya ios bt ni android
Kitu peke ambacho niliwahi kukiona nj kwenye kubypass au kuremove i cloud kwakutumia checran simu za china nilikuwa nazitoa flesh tu ila nikiletewa za USA kwa kweli zilikuwa zinagoma kubypass mpaka leo mtu akitaka kubypass iphone namwambia anitumie kwanza model nikiona tu LL najua hapa hakuna biashara chapu naitema hiyo kazi