msaada wa ipadi

msaada wa ipadi

mseveni

Senior Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
125
Reaction score
19
ipadi yangu imezima haiwaki tena.naomba msaada nitafanyeje ili iwake.
1.naomba msaada wa kujua hivi ipadi inatumia operating system gani.
2 na ni njia ipi ya kuitengeneza
 
Back
Top Bottom