Msaada wa Intership au Volunteer

Msaada wa Intership au Volunteer

Podcast

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
842
Reaction score
1,031
Habari za mida wana Jukwaa

Mimi ni Mhitimu (2020) Bachelor of Laws, Kutoka Chuo kimoja hapa Tanzania.

Naomba nafasi ya Intership au Volunteer iwe ni Law Firms au sehemu yoyote wanapoweza nipa nafasi nikapata experience Zaidi.
Natanguliza Shukurani 🙏

NB: Kama kuna nafasi ya kazi na ukahisi nina vigezo ata kama sio kwenye Sheria naomba nisaidie.

Nipo Dar es salaam.
Jinsia (ME)

Kwa Mawasiliano
0678694962
 
Back
Top Bottom