Msaada wa internet

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,900
Reaction score
690
wanajamvi mimi ni mkazi wa Kigamboni DSM. nimejaribu kutumia modem za airtel, tigo na voda kwa nyakati tofauti ila internet naipata kwa tabu sana na inakuwa too slow na nashindwa kutimiza majukum yangu mtandaoni.
naomba kujuzwa kama kuna kampuni inayotoa huduma ya internet kwa matumizi ya nyumbani. nina laptop moja tu ila nahitaji wireless internet ili na wanafamilia wangu waweze kuitumia kwenye simu zao (smart phones).
thx in advance kwenu wana JF
 
Ijaribu Smart 4G LTE na uchukue MiFi router
 
TTCL wako poa mkuu,,,sema ujipand kweny gharama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…