wakuu nina moderm ambayo inaingia line yoyote . Sasa nawaombeni mniambie line gani nzuri ambayo wanatoa huduma ya unlimited internet kwa mwezi? Asanteni sana manake hapa najua wataalamu mpo wengi sana
Vodacom ni reliable and efficient.
Weka salio la Tsh 8000(mb500 ) au 15,000(1GB)
Andika mesage yenye neno 500MB ama 1GB kwenda 15300.
Hapo utakuwa na intenet access mwezi mzima.
Vodacom ni reliable and efficicient.
Weka salio la Tsh 8000(mb500 )15,000(1GB)
Andika mesage yenye neno 500MB ama 1GB kwenda 15300.
Hapo utakuwa na intenet access mwezi mzima.