Elekeza ya voda na wengne tujueJaribu kuwapigia huduma kwa wateja watakuelekeza mkuu...mimi nilikuwa nakumbuka ila sasa hivi nimesahau coz nimezoea vodacom
unatuma neno ALL kwenda 15300 baada ya hapo watakuletea ujumbe huu...Ndugu Mteja, tunakutumia settings za Intaneti mpya ambazo zitakupa uwezo wa kutumia Intaneti vizuri. Tafadhali save utakapopata. Vodacom, Kazi ni Kwako! haitachukua dakika mbili watakuletea CONFIGURATION MESSAGE UTAZI-ACCEPT KWA KUZISAVE THEN YOU ARE DONE..Elekeza ya voda na wengne tujue
kama sijakosea jamaa kasema anatumia mtandao wa machungwaVodacom, Kazi ni Kwako!
ndio naelewa kabisa...soma post yangu uelewekama sijakosea jamaa kasema anatumia mtandao wa machungwa
Kwenye APN name andika jina lolote tu ata jina lako au andika la mtandao "HALOTEL" cha muhimu ni kwenye Access point andika "b-internet" pengine usijaze kitu acha kama palivo (leave blank) kisha save....Madau asalama leikumh
Wakuu mwenye kufaham jinsi ya kufanya setting Internet ya simu kwa kutumia laini ya Halotel naomba kusaidiwa...natumia simu ya samsung dual.
natanguliza shukulani
Duh hiyo lugha!!!nenda kwenye seting kixha bofya netwrk setting alafu nenda kwenye accsc point bonyeza kma unatmia lin mbil watakupa option ko chagua halotel af kwenye space jaza iv
Name:halotel tanzania
Apn:internet
Apn type:default
Authenticationap or chap
ivo an
asante kwa kuchagua halotel nakutakia jion njema
Duh hiyo lugha!!!
Aksante sana mkuunenda kwenye seting kixha bofya netwrk setting alafu nenda kwenye accsc point bonyeza kma unatmia lin mbil watakupa option ko chagua halotel af kwenye space jaza iv
Name:halotel tanzania
Apn:internet
Apn type:default
Authenticationap or chap
ivo an
asante kwa kuchagua halotel nakutakia jion njema
Kila la kheri mkuuMrejesho....
Wakuu nimefanya jinsi mlivyo elekeza sasa naenjoy Internet yenye bei nafuu Halotel....