To buy any Vodacom Internet bundle, dial *149*01# and select the Internet option.
hujamsoma kaka, bundle inakuja baada ya kua na int-configurations ambazo hana na ndo anazitaka
Nashukuruni wadau kwa kujitolea kunisaidia hapa. Sasa inafanya kazi 100%.
Kweli JF ni shule.
Pia Chief-mkwawa big up sana...
simu yangu ni aina hio. Nimefuata configuration hapo juu na sasa inafanya kazi. Tatizo haifungui home page hivyo inakuwa vigumu kudawload application. Sasa wakuu naomba msaada wenu jf ndio kila kitu.
ku download apps kunanjia mbilisimu yangu ni aina hio. Nimefuata configuration hapo juu na sasa inafanya kazi. Tatizo haifungui home page hivyo inakuwa vigumu kudawload application. Sasa wakuu naomba msaada wenu jf ndio kila kitu.
Jf noma. Nawashukuru wote mlionisaidia. Kumbe haka kasimu ni bomba kananiletea alart kuwa kuna E-mail imewasiri. Nilitaka kukauza.hahahahaha!!!!ku download apps kunanjia mbili
1)kwa kutumia play store au market ambayo utaikuta ndani ya simu yako.
2)kwa kutumia .apk files a,
mbazo uta download kutoka katika mitandao mbalimbali,
njia zote hazi hitaji home page maana home page ya simu nyingi za android ni Google ambayo sizani kama ina umuhimu wa kene kudownload apps.
jaribu pitia websites hizi kwa apps za android
GetJar | Mobile |
Choose platform | Download Mobile Apps & Games | Brothersoft Mobile
amdroidzoom.com
Jf noma. Nawashukuru wote mlionisaidia. Kumbe haka kasimu ni bomba kananiletea alart kuwa kuna E-mail imewasiri. Nilitaka kukauza.hahahahaha!!!!