Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,417
kaka kwa nini wasifunge 3g ktk minara yote maana hata mimi nashindwa kuifaidi simu yangu maana ktk mnara ninaotumia hauna 3g.
kuna H Lakini net inashuka kila saa inasoma 3g
itakua signal ni ndogo tu labda utafte sehemu upate mnara unapojaa
nihame kwangu niende karibu na mnara jamani😱😱
Unaweza kuset network kwenda 3G/WCDMA only kwenye network settings. Pia unaweza ukajaribu kutumia Airtel ingawa haiko faster kuliko Vodacom.
mtandaoupi uko fastankuliko voda
Vodacom upo fasta sana ! Pamoja na Tigo ! Japokuwa tigo sio kila eneo una 3G
dar wap tigo haina 3g?
unaweza kua mtandao una speed ukajiunga kifurushi ambacho si sahihi. na ukieka line ya tigo utarudia step za juu tena maana apn itafutika itabidi ueke upya.
embu niambie kwa tigo na voda ni kifurush gan kipo fasta
vifurush vya mb ambavyo sio unlimited ndio vina speed.
mfano unaambiwa kwa 500 tunakupa dakika 20 sms 100 na mb 125 vifurush vya namna hii vinakua na speed.
kwa kuanzia kwanza hebu nenda playstore search application inaitwa speedtest download then open halafu t3st speed ulete majibu.