Msaada wa internet connection

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
1,270
Reaction score
1,111
Ndugu wanajamvi habari za leo!!!
Naombeni msaada wa namna ya kufanya internet connection ya Nokia Asha 501.
Ni simu ambayo nimenunua kwajili ya dada yangu ili japo niweze kushea nae vitu kama whatsapp na kama hivyo.
Sasa tatizo linakuja kuwa nimeshapata message ya configuration na nime-install kwenye simu. Tatizo linakuja kuwa pamoja na hayo bado simu haiconnect kwenye internet.
Naombeni sana msaada wenu juu ya hili.
Line ni ya Tigo:
confused:
 
hawa tigo wa ajabu sana hua wanatuma configuration fake kwenye asha. asha zote zinasumbua hii ishu.

unachotakiwa ni nenda kwenye configuration kisha personal configuration.

tengeneza web connection name eka chochote mfano prince na apn andika internet.

same fanya kama unataka access point.

then turn back uactivate hizo setting
 

Aiseee!!! Ahsante sana chief kwa michango yako ya thamani na manufaa makubwa kwangu na wanajamii wengine pia.
Narudisha feedback ya kuwa hatimae nimeweza kupata connection.
Pia hata kwenye tatizo la GPS kujiwasha yenyewe baada ya kufanyia kazi ushauri wako, now problem solved.
Thanks a lot once again
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…