Msaada wa Installation ya Microsoft office

Msaada wa Installation ya Microsoft office

Attachments

  • Capture2.PNG
    Capture2.PNG
    6.2 KB · Views: 21
Duh! Ndio nimeona hii leo. Nimeongeza ujuzi. Fungua hiyo disk image ndani, je hakuna file linaitwa setup?


Fungua readme upate maelekezo.
Hayo maelekezo nimeyafata kiongozi.
 

Attachments

  • Capture3.PNG
    Capture3.PNG
    8.1 KB · Views: 18
  • Capture4.PNG
    Capture4.PNG
    8.9 KB · Views: 20
Tafuta office 2013 64 bit. Nenda get into pc utaikuwa huko au nenda izofile.com unaweza ukakuta huko. Kisha install.
Hivi ms office kuanzia ya 2013 na kuendelea kuna ambayo ni free au hadi ununue licence ya mwaka?
 
Back
Top Bottom