Msaada wa Installation ya Microsoft office

Travis 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
948
Reaction score
1,518
Nashindwa kuinstall Microsoft office kwenye laptop yangu. kila nikijaribu inakuja na ujumbe wa "Something went wrong". Nimejaribu kila njia zinazoelekezwa YouTube na baadhi ya websites lakini tatizo limekua likiendelea.

Natumia windows 10 pro 64-bit.
 
Ni office version ipi?
 
Jaribu hiyo hapo naona package zao zipo vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine kuelekeza hatupo vzr sana ungeweka picha hapo tuone hayo maelekezo na step moja hadi nyingine unavyofanya hiyo installaion yako
 
Nashindwa kuinstall Microsoft office kwenye laptop yangu. kila nikijaribu inakuja na ujumbe wa "Something went wrong". Nimejaribu kila njia zinazoelekezwa YouTube na baadhi ya websites lakini tatizo limekua likiendelea.

Natumia windows 10 pro 64-bit.
Ingia local disk c futa file zote zinazo relate na Microsoft office Kisha restart PC try kuinstall upya hiyo office uipendayo
 
Je kwenye pc yako hujainstall microsoft office nyingine?
Kama ipo nenda kwenye control panel kisha uiunistall halafu ndio uingize mpya.
 
Ingia local disk c futa file zote zinazo relate na Microsoft office Kisha restart PC try kuinstall upya hiyo office uipendayo
Nilifanya hivyo mkuu lakini tatizo bado lipo.
 
Jaribu ku screenshot control panel yako kwenye Ms office na ile error tuone au unaweza jaribu Ms office 2007 Kisha tutaendelea
Tuma picha ya installed programs toka kwenye control panel na picha ya hiyo error.
Pia inawezekana hiyo setup ni mbovu.

Nenda getintopc ndio wanazo setup nzuri zaidi.
 
Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    41.2 KB · Views: 43
  • Capture1.PNG
    Capture1.PNG
    14.6 KB · Views: 38
Hiyo office proffesional plus inafanya kazi? Mbona inasema tayari ipo ndani ya pc?

Hiyo setup uliyonayo sio common lazima itakusumbua. Nenda get into pc search office ya 2013 64bit haisumbui kuinstall.
 
Itabidi nifanye hivyo maana hata me nilikua na wasiwasi nayo hiyo.
 
Back
Top Bottom