Wanajamvi habari zenyuuu....!
Naomba msaada wa pin code niformat simu yangu ya Ideos, maana camera yake haioneshi na nimeambiwa ni virus ambayo suluhisho lake ni kuifomat.
Kwa mwenye ujuvi na uzoefu naomba tafadhali anisaidie hizo pin codes au ushauri wowote wa kitaalamu.
Nawasilisha!