Msaada wa idadi ya wanafunzi waliofaulu kidato cha nne mwaka 2017.

Golden felician

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
216
Reaction score
36
Idadi ya watahiniwa waliomaliza form four mwaka Jana.ambao wamefaulu kuingia kidato cha tano mwaka 2018 ni wangapi? Naomba kusaidiwa idadi yao kwa ngazi za division walizopata
 
Ingia kwenye website ya necta
 
Idadi ya watahiniwa waliomaliza form four mwaka Jana.ambao wamefaulu kuingia kidato cha tano mwaka 2018 ni wangapi? Naomba kusaidiwa idadi yao kwa ngazi za division walizopata
Bro naona unahangaika sana, just relax shule utapata tu,na hata ukikosa kuna milango mingine mingi itafunguka,Mungu ni wa wote
 
Kijana ana ham na form six,wakati mdogo wangu ana dvision two ataki kuiskia form six anachotaka ni chuo tu.Kweli maisha lazima tutofautiane.
 
Kumbuka fom6 tena kuna necta. na ndalichako haachagi mtu salama. Take care, zingatia muda wako,l na uutumie vizuri, pia usiwe mvivu,
Mungu atakusaidia lasivyo tukutane jf 2020 uanze uzi mpya za kujuta kwenda advance...
 
Nitakaza tu.sababu najua nini nafanya na nini nahitaji
 
Kwan dogo selection zishatoka?punguza mbwembwe alaaa
 
Back
Top Bottom