Msaada wa huduma ya Intracytoplasmic Sperm Injections

saidhafidh

Senior Member
Apr 10, 2013
119
8
Wakuu nilikuwa naulizia kama Tanzania kuna huduma ya Intracytoplasmic Sperm Injections?

Kama ipo hospitali inayotoa huduma hiyo, tunaomba tujuulishwe pamoja na gharama zake hapa kwetu Tanzania.
 
Sikushauri ufanyie dar ndugu yangu.....utajuta (sio kwamba hakuna wanaofanikiwa ila bahati nasibu nyingi mno....hela yake ndefu sawa na kwenda nje tu)

Kama una hela kafanyie india au zaidi sa
 
hio spital inaitwaje iko maeneo gan hapo dar na gharam yak ikoje
Kama sikosei wapo karibia na baraka plaza.

Zamani ilikuwa $8000, ambayo ni total package. Ndio maana nakwambia kwa hela hiyo heri ukafanyie nje. Tafuta hospital ambayo success rate yake ni nzuri.
 
Back
Top Bottom