conrym.conrym
Member
- Jul 24, 2014
- 99
- 7
Nahitaji mtu mwenye kufahamu ili tatizo simu yangu ya huawei inatatizo, nikipiga picha nikiingia kuzifungua zinakuwa black ama zinafunguka nusu..ni nini tatizo litakuwa.
Itakuwa y300 ascend hiyo mbona mim natumia y300 na inafungua poa????