N Nyamulekwetu Member Joined Feb 17, 2016 Posts 38 Reaction score 11 Mar 21, 2016 #1 Ninaomba msaada printer tajwa hapo juu,inakua inatoa meseji hii"59.40 ERROR" kuna wakat inaprint ila kuna wakati inatoa hiyo sms,tatizo ni lipi wakuu,msaada tafadhali ili niondoe hilo tatizo.Asanteni
Ninaomba msaada printer tajwa hapo juu,inakua inatoa meseji hii"59.40 ERROR" kuna wakat inaprint ila kuna wakati inatoa hiyo sms,tatizo ni lipi wakuu,msaada tafadhali ili niondoe hilo tatizo.Asanteni