msaada wa hp desktop

msaada wa hp desktop

mpambanaji1

Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
36
Reaction score
39
wakuu habari zenu??
Naomba kwa mwenye kujua ni
wapi nitaweza kupata hp
destop used yenye ubora mzuri with reasonable price
na ambayo haitakuja
kunisumbua!!
Mimi nipo Dar
 
wakuu habari zenu??
Naomba kwa mwenye kujua ni
wapi nitaweza kupata hp
destop used yenye ubora mzuri with reasonable price
na ambayo haitakuja
kunisumbua!!
Mimi nipo Dar
Ikohapa kwa 220000Tsh.
 
wakuu habari zenu??
Naomba kwa mwenye kujua ni
wapi nitaweza kupata hp
destop used yenye ubora mzuri with reasonable price
na ambayo haitakuja
kunisumbua!!
Mimi nipo Dar
mdau nenda pale kariakoo baada ya roundabout nyoosha kuelekea mnazi mmoja opposite kongo bus stand utaona maduka ya wasomali mengi ushindwe wewe!!
 
wakuu habari zenu??
Naomba kwa mwenye kujua ni
wapi nitaweza kupata hp
destop used yenye ubora mzuri with reasonable price
na ambayo haitakuja
kunisumbua!!
Mimi nipo Dar

Hp
Duo core
250Gb hdd
2Gb ram
Flat Monitor 17"
Call 0774330099
Price 250,000/=
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom