nchelegwanzingi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 468
- 277
Habari zenu wakuu
Nimepata safari kidogo ya kikazi toka huku kwetu usukumani SALAWE sasa kwa wenyeji wa ROMBO naomba msaada wa Hotel ya kufikia hapo, kazi yangu itachukua wiki 2
Nawasilisha