Msaada wa hospitali nzuri ya kansa nchini India

Ngariba1

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
1,826
3,806
Habarini wakuu

Nina mgonjwa wa saratani ya titi. Kwa kutambua kuwa India kuna hosp nyingi, ninaomba kufahamishwa hosp nzuri kwa matibabu ya saratani kwa kuzingatia wataalam, vifaa tiba na isiyo na ujanja ujanja.

Natanguliza shukrani.
 
Apollo wale jamaa me nahisi hawashindwi kitu aiseee ila ndo ujipange galama sema mpk umefikilia huko utakua pesa unazo tuuuuu

Osheni lodi wameshindwa kwani.??
 
Apollo wale jamaa me nahisi hawashindwi kitu aiseee ila ndo ujipange galama sema mpk umefikilia huko utakua pesa unazo tuuuuu

Osheni lodi wameshindwa kwani.??
Asante san kwa ushauri ndugu yangu. Nitawacheck pia Apollo. Kuhusu uwezo wa kipesa si mkubwa kama unavyoweza kudhani ni basi tu kuhangaika kutafuta kilicho bora.
 
Asante san kwa ushauri ndugu yangu. Nitawacheck pia Apollo. Kuhusu uwezo wa kipesa si mkubwa kama unavyoweza kudhani ni basi tu kuhangaika kutafuta kilicho bora.
Hakuna dawa ya cancer, ni kuomba na palliative case being intense. Why not try western world hospitals kama ka uwezo kapo? Pole mpendwa.
 
Back
Top Bottom