Msaada wa hospital/Dermatologist Mbeya

Msaada wa hospital/Dermatologist Mbeya

BumbleBeeBot

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
281
Reaction score
440
Habari, kama Kuna mtu anafahamu hospital nzuri Mbeya yenye wataalam wa magonjwa ya ngozi au kama unamfahamu dermatologist hapa Mbeya unisaidie kuniunganisha nae. Natanguliza shukrani
 
Habari, kama Kuna mtu anafahamu hospital nzuri Mbeya yenye wataalam wa magonjwa ya ngozi au kama unamfahamu dermatologist hapa Mbeya unisaidie kuniunganisha nae. Natanguliza shukrani
Nenda Rufaa..huko utakutana nao.
K's pia maspecialist wanakuwepo kwa zamu, siyo siku zote.
 
Back
Top Bottom