Uzuri wa C.Nolan ni dialogue... Akili mingi saana....Kwema Wadau wangu mko poa, Natumaini wazima wote,
Oke. Wakuu mi naomba kuelezwa kama kuna mmoja wapo alishaona hizi movie sijui hiyo ya Will Smith ni series ata sielewi, kiufupi nijue zinahusu nini ndani ili niweze zipakua nikazicheck, maana nimekuja huko mjandala mara hizo mbili kama ya Tenet na Inception ni za kutumia akili sana, naomba mnijenge kisaikolojia ili nikiwa natazama niweze elewa.
View attachment 1643873View attachment 1643875View attachment 1643876
Au nasema Uongo ndugu zangu [emoji1751][emoji2957][emoji125]
Uzuri wa C.Nolan ni dialogue... Akili mingi saana....
Inception niliiona 2009 lakini sikuilewa for the first time nikaipuuza...miaka kadhaa mbele nikacheki Vanilla Sky... halafu nikaambiwa niitafute inception hapo nikatuliza makalio nikaitizama na nikaanza kumpigia saluti Nolan....tangu hapo Nolan akitengeneza movie naicheki...hiyo tenet humo ndo kaua bila akili nyingi huwezi kuenjoy...inatakiwa utulivu kidogo...kuna action za future past na present halafu kuna wakati zina merge hahaaaa
Vip Ni nzuri Sana?Tenet inahusu time travel na mambo ya science yajayo
Kweli interstellar ilikua na mwisho rahisi sana,nakumbuka inception ilinipeleka cinema mara 2 na mara ya kwanza ilivyoisha iliniacha na maswali kama yote. Labda kutakua na part 2 yakeKweli kabisa.
Pia The Prestige na Memento.
Interstellar ingeweza kuwa the best movie of all time ila naona mwisho haukuwa poa sana.
Inception is perfect.