Msaada wa hii modem inanigomea! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa hii modem inanigomea!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by G spanner, Feb 24, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wadau kuna modem ya ttcl nilinunua mwez uliopita hii modem tangu nanunua kabla ya kuanza kutumia lazma ufanye setting zake kwanza hii ni pamoja na kuandika namba ya cm kama user name pamoja na kuandika password zake ugumu ni kwamba kwa sasa kila nikijarib set hiz setting inareply kuwa incorrect password and username na pasword pamoja na namba ni zile zile nilikuwa natumia je nifanyaje niweze tumia hii modem?
   
 2. N

  Nyasiro Verified User

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ni modem ya ttcl aina gani? kwa kawaida kwenye ttcl username:073XXXXXX@ttclmobile halafu password ni namba zako 6 za mwisho kutoa 073X
   
 3. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Modem zenyewe ni hizi hizi ttcl broadband ambazo hazina space ya line line zake ni inbuilt na setting zake nimefuata hivyo hivyo japokuwa nnaponunua na kuset mara ya kwanza muuzaji aliniambia password zozote zile na ndio nikawa natumia ila baada ya kutotumia kwa takriban mwez mmoja ndio imegoma kabisa nimejaribu kila njia ya kwenye setting inagoma kwa kureply kuwa asses denied because the user name and/or password was invalid on the domain. KWAHIYO NASHIDWA KUJUA SULUHISHO NIFANYE NINI ILI KUFANIKISHA kwasab imegoma kabisa!
   
Loading...