Ndugu zangu nianze kuwasalimu kwanza hamjambo humu shida yangu ni kupata maana na tofauti kati ya maneno yafwatayo Sports na Entertainment ni maneno yanayo nichanganya sana ndo maana nimekuja humu kwenye mafundi wa lugha kuelimishwa ,msaada wenu plz
Sent using
Jamii Forums mobile app