niwaellyester1
Senior Member
- Sep 7, 2010
- 123
- 22
mbona nitakoma, na ndio niko najiandaa nipite madukani, posta cjui kama watakuwa wamefungua leo, na kariakoo je?
ya kobe ile ya kawaida ninayo ila nimeogopa kuitumia nicke nikaua betri
dreamliner said:Nunua camera nyingine Mlimani CITY!