W wakomong'we Member Joined Oct 28, 2011 Posts 30 Reaction score 2 Aug 11, 2013 #1 Wana jamvi nina tatizo la kigugumizi cha mikono kwenye suala la typing, kuna jamaa yangu ameniambia nitafute program moja inaitwa typing master. naomba kwa wenye ufahamu na hili wanisaidie
Wana jamvi nina tatizo la kigugumizi cha mikono kwenye suala la typing, kuna jamaa yangu ameniambia nitafute program moja inaitwa typing master. naomba kwa wenye ufahamu na hili wanisaidie
Frank G Senior Member Joined Jan 1, 2013 Posts 168 Reaction score 40 Aug 11, 2013 #2 nyingine inaitwa mavis becon ukipata ndani ya wiki tu upo fasta zisearch kwenye matorrenty zinapatikana!
nyingine inaitwa mavis becon ukipata ndani ya wiki tu upo fasta zisearch kwenye matorrenty zinapatikana!