Kweeli wewe Ngoswe! Unaandika composition?
Swali lako halina jibu la hapo kwa hapo kwani unaweza kusema vyote kulingana na unachokizungumzia na maelezo yaliyotangulia sentensi hiyo. Nakushauri rudi darasani ukajifunze matumizi ya articles (au niseme ukiwa darasani muulize mwalimu wako-maana kwa swali hili inaonekana uko form 1 au 2). Ukijifunza "articles" itakusaidia kujua wapi unasema "a male teacher", "the male teacher" au "male teachers", "the male teachers" etc.
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe. Swali lako lina ukakasi sana japo "nimejibu".