Shedangio JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 448 Reaction score 170 Mar 2, 2018 #1 Habari wataalamu? Naomba msaada mita yangu ya 3phase imegoma kuwanya kazi haina mawasiliano je kuna namna ya kuirekwbisha? Haiwezi hata kusoma unit zilizobakia.
Habari wataalamu? Naomba msaada mita yangu ya 3phase imegoma kuwanya kazi haina mawasiliano je kuna namna ya kuirekwbisha? Haiwezi hata kusoma unit zilizobakia.
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,657 Reaction score 7,146 Mar 2, 2018 #2 Shedangio said: Habari wataalamu? Naomba msaada mita yangu ya 3phase imegoma kuwanya kazi haina mawasiliano je kuna namna ya kuirekwbisha? Haiwezi hata kusoma unit zilizobakia. Click to expand... Report Tanesco wanakitengo cha kurepear hizo meter
Shedangio said: Habari wataalamu? Naomba msaada mita yangu ya 3phase imegoma kuwanya kazi haina mawasiliano je kuna namna ya kuirekwbisha? Haiwezi hata kusoma unit zilizobakia. Click to expand... Report Tanesco wanakitengo cha kurepear hizo meter
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,837 Reaction score 82,369 Mar 2, 2018 #3 Una CUI hapo ulipo? Je upo sehemu gani? Na je hiyo CUI inasoma? Kama utaweza kunipa details haraka nakusaidia ila otherwise piga simu kitengo cha dharura cha sehemu uliyopo watafika
Una CUI hapo ulipo? Je upo sehemu gani? Na je hiyo CUI inasoma? Kama utaweza kunipa details haraka nakusaidia ila otherwise piga simu kitengo cha dharura cha sehemu uliyopo watafika
Shedangio JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 448 Reaction score 170 Mar 2, 2018 Thread starter #4 chaliifrancisco said: Una CUI hapo ulipo? Je upo sehemu gani? Na je hiyo CUI inasoma? Kama utaweza kunipa details haraka nakusaidia ila otherwise piga simu kitengo cha dharura cha sehemu uliyopo watafika Click to expand... Cui ni nini mkuu?
chaliifrancisco said: Una CUI hapo ulipo? Je upo sehemu gani? Na je hiyo CUI inasoma? Kama utaweza kunipa details haraka nakusaidia ila otherwise piga simu kitengo cha dharura cha sehemu uliyopo watafika Click to expand... Cui ni nini mkuu?
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,837 Reaction score 82,369 Mar 2, 2018 #5 Customer User Interface au remote kama mnavyoita Meter yako ni ya conventional au LUKU/AMR?
Shedangio JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 448 Reaction score 170 Mar 2, 2018 Thread starter #6 Nnayo hapa kaka
Shedangio JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 448 Reaction score 170 Mar 2, 2018 Thread starter #7 Nipe namba yako nikupigie
Shedangio JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 448 Reaction score 170 Mar 2, 2018 Thread starter #8 0655048302
Shedangio JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 448 Reaction score 170 Mar 2, 2018 Thread starter #9 Nibeep
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,837 Reaction score 82,369 Mar 2, 2018 #10 Namba tena mkuu nimeuliza upo wapi hujasema
Shedangio JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 448 Reaction score 170 Mar 2, 2018 Thread starter #11 Nipo Tanga kaka
Shedangio JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 448 Reaction score 170 Mar 2, 2018 Thread starter #12 Nipo Tanga
Shedangio JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 448 Reaction score 170 Mar 3, 2018 Thread starter #13 Nashukuru nilifaniiwa namba ya kita ilitolewa so nimeingiza upya tu.