Usiogope mpeleke hospital! Na yeye sio kichaa ni msongamano wa mawazo tu! Na uwe karibu naye asije akajidhuru au kumdhuru mtu mwingine...nenda sasa hivi! Mola akutangulie!
Mkuu kama kuna hospital ya mkoa hapo Arusha(najua ipo),nenda ukapate Huduma hapo. Kuna watalaamu wa magonjwa ya akili hapo(psychotricist). Kama hawapo watakupa rufaa nadhani IPO pia hapo Arusha