Omari Issa
Senior Member
- Jul 26, 2012
- 168
- 45
habari zenu wakuu?
Naomba mawasiliano ya viongozi wafuatao wa serikali.
1. Katibu/Naibu katibu Mkuu/Waziri/Naibu waziri mwenye dhamana ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
2. Katibu/Naibu Katibu Mkuu/Waziri/Naibu Waziri mwenye dhamana-TAMISEMI
3. Katibu/Naibu Katibu Mkuu/Waziri/Naibu Waziri mwenye dhamana ya Wizara ya Kilimo na Mifugo.
4. Mkurugenzi mkuu/mkurugenzi masoko wa bodi ya korosho taifa.
5. Mjumbe yeyote wa bodi ya korosho taifa.
Ahsante!