version 4.2 ya software gani sasa??? au ndo unamaanisha iphone 3G version 4.2...??? never sikia hiyo mimi!!! isitoshe am very sure kabla hujadownload lazima kuna maelezo yahusuyo hiyo download ya kwamba ni wapi utapata hiyo pasword otherwise haiwezekani mtu aweke software yenye pasword ili watu wadonload afu asiseme utapataje hiyo password...:yawn::yawn:!!