mtabe kila sekta 2009
Member
- Oct 2, 2020
- 41
- 62
Habari wakuu,naombeni msaada wenu kwenye hili,niliwahi kuomba chuo mara tatu tofauti na zote nilifanikiwa kupata ila kwa sababu za kiuchumi na kiafya sikufanikiwa kusoma kwa kipindi hiko.
Mwaka huu nimejaribu kuomba chuo kingine kabisa kwa kozi nyingine ila katika round ya pili na round ya tatu zote nimekosa ,ukizingatia kuwa kuna watu wameomba na wamepata huku ufaulu wao ukiwa ni wa kawaida ukijaribu kufananisha na wangu.
Msaada tafadhali,ni wapi ninakosea?
NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI.