Ninahitaji
mkopo wa kama milioni moja(1ml) tu halafu nirudishe kila mwezi kama laki moja(100,000)
au tutakavyokubaliana. Ninafanya kazi na tutaandikishiana kupitia kampuni yangu au/na mwanasheria. Nina matatizo yamenipata na nahitaji sana msaada,niPM au email
newbietz@yahoo.com au weka mawasiliano. Tusaidiane wandugu matatizo yanatukumba wote,au hata msaada wa wapi nitapata bila masharti ya hati za viwanja etc.
Asanteni sana.