Udom akafanye nn kwa ufaulu huoNenda Udom ndio serkali inakipenda kwa sasa
Mkuu si useme tu kuwa ni ww
Endeleeni kufunguka nafuatilia sana huu uzi na mimi ni mhanga wa hili
Nina binti ana four ya 26
Biology C
English C
Kiswahili C
Geography D
Civics D
Mtusaidie jamani hawa watoto tunawapeleka wapi?
Tembeleeni website za vyuo vitawasaidia Sana tena kwa huo ufaulu ni mzuri sana...!!Endeleeni kufunguka nafuatilia sana huu uzi na mimi ni mhanga wa hili
Nina binti ana four ya 26
Biology C
English C
Kiswahili C
Geography D
Civics D
Mtusaidie jamani hawa watoto tunawapeleka wapi?
MAFUNZO YA CCTV SYSTEM, ELECTRICAL FENCE PLUS ALARM SYSTEM HUWA YANATOLEWAGA HAPA NCHINI NA KAMPUNI YA NEMTEK TOKA SOUTH AFRICA AMBAO NDIO WATENGENEZAJI WA VIFAA NA TECHNOLOGIA YA NEMTEK KUANZIA FENCE, ALARM, CCTV, BIOMETRIC.Nimekuelewa vizuri.Naomba unifahamishe hiyo CHINESE LANGUAGE na ELECTRICAL FENCE AND CCTV SYSTEM inafundishwa wapi?
Mpeleke advance akajipange upya, ana C tatu shule ya private anaendaEndeleeni kufunguka nafuatilia sana huu uzi na mimi ni mhanga wa hili
Nina binti ana four ya 26
Biology C
English C
Kiswahili C
Geography D
Civics D
Mtusaidie jamani hawa watoto tunawapeleka wapi?
Naomba kwa yeyote mwenye uelewa anisaidie kunifahamisha chuo kizuri kilichopo DSM au Nje ya DSM ambapo naweza kumpeleka mwanangu akasome Kozi itakayomsaidia.Kamaliza Kidato cha Nne 2016 na Kupata Division Four Points.27 kama ifuatavyo:
KISWAHILI C
ENGLISH C
GEOGRAPHY D
HISTORY D
BIOLOGY D
CIVICS D
B/MATHS F
B/KEEPING F
COMMERCE F
Naombeni msaada wenu maana nasikia vyuo vinaanza kutoa Application Forms hivi karibuni.
Shule za private anaenda maana ili kufanya mtihani wa kidato cha sita uwe na at least na c tatu za kidato cha nneEndeleeni kufunguka nafuatilia sana huu uzi na mimi ni mhanga wa hili
Nina binti ana four ya 26
Biology C
English C
Kiswahili C
Geography D
Civics D
Mtusaidie jamani hawa watoto tunawapeleka wapi?