dillema JF-Expert Member Aug 14, 2016 398 274 Aug 25, 2016 #41 Anakoelekea na papuch itatapeliwa sasa
Mr Alola JF-Expert Member Aug 11, 2016 473 675 Aug 25, 2016 Thread starter #42 dillema said: Anakoelekea na papuch itatapeliwa sasa Click to expand... Mke wa mtu huyu mkuu, na anajiheshimu sana., niambie resorces ndo zitamtoka.
dillema said: Anakoelekea na papuch itatapeliwa sasa Click to expand... Mke wa mtu huyu mkuu, na anajiheshimu sana., niambie resorces ndo zitamtoka.
The Intelligent JF-Expert Member Dec 27, 2013 2,459 818 Aug 28, 2016 #43 Mwambie amwambie huyo dada kwamba kwa wakati huo amepata tatizo linalohitaji pesa kulishughulikia, hivyo atumie pesa yake atamlipa mara tatu ya pesa hiyo atakapopata ajira. Hapo atakuwa amemchallenge.
Mwambie amwambie huyo dada kwamba kwa wakati huo amepata tatizo linalohitaji pesa kulishughulikia, hivyo atumie pesa yake atamlipa mara tatu ya pesa hiyo atakapopata ajira. Hapo atakuwa amemchallenge.
MduduWashawasha JF-Expert Member Mar 5, 2008 1,653 601 Aug 28, 2016 #44 Msaada si umwambie shemejio ?unless kama kuna pccb humu wamshauri cha kufanya