Milton Mponda
Member
- Apr 5, 2011
- 7
- 0
tumia vitunguu swaumu kwa siku 3 mfululizo ukitafuna punje zisizo pungu 10 na kisha kunywa maji kuazia lita2 kwa siku kwa muda huo wa siku tatu.hakika utapona.Ili kuondoa harufu ya vitunguu swaumu mdomoni tafuna kipande cha limao bila kumenya na maganda yake kisha uongezee na ndizi mbivu,harufu itakwisha.
pole kwa kuangaika kwa muda mrufu hata mie niliwai kusumbuliwa kwa muda mrefu,baada ya kupata hiyo tiba ni mwaka wa 5 sijawahi kuugua malaria kitu ambacho kabla ya hapo nilikua kwa mwaka naugua malaria mara 4 hadi 5.
mambo vipi wanajamii
mi mwenzenu nasumbuliwa na malaria mara kwa mara na haya madawa ya hospital hayanisaidii,kifupi huwa siponi kiasi kwamba najua itakuwa ndo hiyo malaria sugu.sasa kama mtanisaidia kupata dawa ya mitishamba itakuwa mmenipa msaada mkibwa sana.
please help!
Mkuu pia naomba utumie na dawa ya maralia ya maji inauzwa pale Hindumandali ni isaidia mi na Familia yangu alwayz hutumia ni ya maji inakuwa kwenye kichupa cha plastiki.mambo vipi wanajamii
mi mwenzenu nasumbuliwa na malaria mara kwa mara na haya madawa ya hospital hayanisaidii,kifupi huwa siponi kiasi kwamba najua itakuwa ndo hiyo malaria sugu.sasa kama mtanisaidia kupata dawa ya mitishamba itakuwa mmenipa msaada mkibwa sana.
please help!
tumia vitunguu swaumu kwa siku 3 mfululizo ukitafuna punje zisizo pungu 10 na kisha kunywa maji kuazia lita2 kwa siku kwa muda huo wa siku tatu.hakika utapona.Ili kuondoa harufu ya vitunguu swaumu mdomoni tafuna kipande cha limao bila kumenya na maganda yake kisha uongezee na ndizi mbivu,harufu itakwisha.
pole kwa kuangaika kwa muda mrufu hata mie niliwai kusumbuliwa kwa muda mrefu,baada ya kupata hiyo tiba ni mwaka wa 5 sijawahi kuugua malaria kitu ambacho kabla ya hapo nilikua kwa mwaka naugua malaria mara 4 hadi 5.
Mkuu michosho kwani lazima kutafuna???? je ukimeza bila kutafuna haitokutibu????
Tumia Shubiri, ni kiboko ya malaria sugu. Kujaribu ni kujifunza.