Msaada wa haraka unahitajika

Msaada wa haraka unahitajika

Sinanjema

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
286
Reaction score
522
Habari zenu ndugu zangu,

Naomba kuuliza kwa wale waliofanikiwa kupata kazi wizara ya ardhi na kutakiwa kuripoti tarehe 4 kazini.

Kama tunavyojua tarehe hiyo itakuwa ni sikukuu, je Kuna mabadiliko yoyote ya tarehe ya kuripoti au twende tu tarehe hiyo hiyo? Natanguliza shukrani.
 
Wakiona umeandika…….MSAHADA…….hawakuiti haki……
 
Habari zenu ndugu zangu,naomba kuuliza kwa wale waliofanikiwa kupata kazi wizara ya ardhi na kutakiwa kuripoti tarehe 4 kazini.kama tunavyojua tarehe hiyo itakuwa ni sikukuu,je Kuna mabadiliko yoyote ya tarehe ya kuripoti au twende tu tarehe hiyo hiyo?Natanguliza shukrani
Nenda utapewa utaratb shekh
 
Wakati wanatoa tangazo la watu kuripoti Singida walikuwa wanajua kama hiyo siku ni sikukuu
 
Habari zenu ndugu zangu,

Naomba kuuliza kwa wale waliofanikiwa kupata kazi wizara ya ardhi na kutakiwa kuripoti tarehe 4 kazini.

Kama tunavyojua tarehe hiyo itakuwa ni sikukuu, je Kuna mabadiliko yoyote ya tarehe ya kuripoti au twende tu tarehe hiyo hiyo? Natanguliza shukrani.

Umeona tangazo la kuripoti kazini 09/05/2022?
 
Kula Eid ww achana na mambo ya kazi, kwanza ww sio mtu wa kwanza kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom