MSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA.

texaz mc

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2016
Posts
371
Reaction score
205
HABARI! Nauliza kwamba je kuna uwezekano wa kupata namba ya mtu aliye fb ambaye hakuiweka hadharani?
 
Huwezi kupata mkuu,labda uwe very inteligent sanaa
 
Heee Smart911 love kuna habari za fb tena uwiii!!
Siyo issue... Member anauliza jinsi ya kupata number ya mtu FB ambayo haipo kwenye profile yake...

Ndiyo namwambie kama haipo means ameiweka private... Amuombe mwenyewe...
 
Duh... malovedave humu ni tech. Matatizo ya kiufundi. By the way kama mtu hajaweka taarifa zake public kwa FB ni ngumu kupata. Kama huna ugomvi naye mtumie meseji huko huko fb umuombe akupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…