chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 765
- 1,262
Habari zenu wakuu!
Siku ya leo nimekutana na tatizo kubwa la kuunganisha huduma ya Proton VPN ni VPN ambayo huwa ninaitumia kuanzia jana na hata leo mchana cha kushangaza tangu majira ya saa tisa imenigomea mpaka nimebahatisha. Sasa hivi na sitamani hata kutoka je, wajuuzi wa huduma hii mnaweza kujua tatizo huwa nini.
Nipeni maujanja tafadhali[emoji120]