daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 198
je unatumia nokia store au?kwanini usidownload kwa kutumia pc hiyo setup halaf ukainstall
Ukidownload cm ina andkaje?
jamani kila siku hizi
heading mnaambiwa sizo still mnaandika hapa kuna watu kibao wanapita
bila kuclick hii thread. Sema aina ya simu unayotumia
jamani kila siku hizi
heading mnaambiwa sizo still mnaandika hapa kuna watu kibao wanapita
bila kuclick hii thread. Sema aina ya simu unayotumia
mkuu natumia Nokia Asha 303...sorry kwa heading ambyo sio streit to the point
mkuu kwanza make sure
una lastest updates kwa simu yako. Conect simu yako na nokia suite then
pc ikiwa na internet angalia updates. Hii ni muhimu maana hamna simu
duniani inayokosa bugs kama hizo ila kupitia updates bugs zinakua
solved.
Then ukiweza/ukishindwa hapo juu jaribu njia hizi.
-download whatsapp toka nokia ovi store client kwenye simu yako au ingia
website hii whatsapp.com then download whatsapp ya s40
then hii ni trouble shoot.
1. Umeingia website ya whatsapp then wanakwambia simu yako siyo make
sure umeingia na browser ya simu (usiingie na opera wala ucweb)
2. Umeingia na browser ya simu then still huoni link ujue simu yako
haisuport/yakichina
3.umeona link lakini umedownload imefeli ujue network mbovu
4. Umedownload hadi imekamilika inakataa kuinstall inasem unsuported
file format ujue umedownload version ambayo si ya simu yako.
inadownload n mwisho inaandika 'download failed'
shukrani saana mkuu..nlifanikiwa.kumbe network haikua vizuri...na swali jingine
humu kwenye ovi store kuna App ambayo inaeza kuniwezesha kufungua PDFs but nikidownload icon yake inakua kama na kifunguo kwa juu?why?na nashindwa kufungua PDFs
may b cm imejaa
cheki storage status
mkuu kuna apps inaitwa
ezreader kwa ajili ya kufungulia mafile ya aina hiyo kama huna nenda
ovi kaisearch kama unayo hivi ni namna ya kuitumia.
Pale unapodownload file la pdf huwa browser inakuuliza isave wapi au
wewe mwenyewe unajua mafile yako yanajisave vipi mfano file la pdf
linaweza jisave kwenye memory card kwenye folder la documents.
Basi open app yako ya ezreader then open file halafu navigate hadi lile
folder uliposave pdf then ndio uopen. Ukishafanya mara moja lile file la
pdf litakaa mule mule kwenye application ya ez redader