dimatteo JF-Expert Member Jan 14, 2018 868 931 May 28, 2019 #1 Habari za muda huu wana jf, Natumaini ni wazima wa Afya Shida yangu ni moja tu! kwa yoyote ambae ana simu aina ya C2-Nokia 002....iliyokwishatumika please naomba aniuzie kwa gharama Nafuu Ahsanteni na Mungu awabariki
Habari za muda huu wana jf, Natumaini ni wazima wa Afya Shida yangu ni moja tu! kwa yoyote ambae ana simu aina ya C2-Nokia 002....iliyokwishatumika please naomba aniuzie kwa gharama Nafuu Ahsanteni na Mungu awabariki
dimatteo JF-Expert Member Jan 14, 2018 868 931 May 29, 2019 Thread starter #2 jaman hakuna mwenye nayo hiyo simu?? wakuu
jogi JF-Expert Member Sep 25, 2010 25,558 25,323 May 29, 2019 #3 Walio nazo hawajui kuwa unaihitaji moja kwani kichwa cha habari hakijisimamii.